Hebrews 6:13

Uhakika Wa Ahadi Ya Mungu

13 aMungu alipompa Abrahamu ahadi yake, kwa kuwa hakuwepo mwingine aliyekuwa mkuu kuliko yeye ambaye angeweza kuapa kwa jina lake, aliapa kwa nafsi yake,
Copyright information for SwhNEN